Proverbs 5:3-5

3 aKwa maana midomo ya mwanamke kahaba
hudondoza asali,
na maneno ya kinywa chake
ni laini kuliko mafuta;
4 blakini mwisho wake ni mchungu kama nyongo,
mkali kama upanga ukatao kuwili.
5 cMiguu yake hushuka kuelekea kwenye kifo;
hatua zake huelekea moja kwa moja kaburini.
Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.

Copyright information for SwhNEN